johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Afisa afya na siasa wapi na wapi bwashee?!Siasa, siasa, siasa, siasa, siasa hatari sana.
Ile video ya yule mama imejieleza vizuri, tujifunze na turekebishe pale tulipokosea tuache siasa za kijinga..
Sasa 30K unaona ndogo katika kipindi hiki cha mdororo wa hela?Afisa afya wa uwanja wa ndege wa JNIA amesema siyo kweli kwamba wanaowekwa katika karantini wanalazimishwa kukaa hotel za bei kubwa.
Amesema kamati ya mkoa imechagua Hotel kadhaa kulingana na hadhi ya abiria wanaowasili hivyo kiwango cha malipo ni kati ya sh 150,000 kwa wenye uwezo hadi sh 30,000 kwa akina " mwenzangu na miye!
Hivyo wanaolalamika wana sababu nyingine labda lakini gharama kiukweli wanajichagulia wao wenyewe.
Source: ITV kumekucha
Hata wakiwekwa shuleni watadai wanadharirishwa kama ilivyotokea Nairobi!Sasa 30K unaona ndogo katika kipindi hiki cha mdororo wa hela?
Kwanini wasingetenga hata shule kama alivyofanya Rais Museveni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mtu kachangiwa hela ya kwenda kutibiwa India karudi anakutana na msala huo itakuaje sasaKuna mtu/watu wanafaidika na hilo deal hao wenye hotel waliochaguliwa watakuwa wanatoa some % (kufa kufaana)
Maana issue was so simple kuliko kuwaingiza watu gharama hivyo wangetumia hostels za vyuo tu za Kampala University au Mabibo hostels au za Magufuli chakula wapikiwe cafeteria ili kuwasaidia watu maana huko hotelini ni kuwakamua hela na huenda ndiyo lengo
Kumbuka hao watu wanafanya shughuli zao ndani na NJE ya nchi, iweje vipato vyao viwe vidogo!?
Huyu jamaa anamathihara 30,000 × 14 = 420,000/- hapo ujala kutwa ×3
Mfano chai 2,000×14 dayz =28,000/=
Lunch 4,000 × 14days =56,000/-
Dinner 4,000 ×14 dayz =56,000/-
Jumla kuu ~560,000/ kwa siku 14.
Hapo kama ni mtumishi au mfanya bishara wa kawaida unakuta kipato ni kiduchu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wametoka wapi!? Maana hiyo nikwawasafiri wanaotoka NJE. Iweje wa kimataifa ukose fedha!?
Na wale amabao hawana kabisa hela wanaenda wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
bado hujapata ndovu ya baridi au wine maana huko jela.Huyu jamaa anamathihara 30,000 × 14 = 420,000/- hapo ujala kutwa ×3
Mfano chai 2,000×14 dayz =28,000/=
Lunch 4,000 × 14days =56,000/-
Dinner 4,000 ×14 dayz =56,000/-
Jumla kuu ~560,000/ kwa siku 14.
Hapo kama ni mtumishi au mfanya bishara wa kawaida unakuta kipato ni kiduchu
Sent using Jamii Forums mobile app
asitufanye sisi wajinga,Afisa afya wa uwanja wa ndege wa JNIA amesema siyo kweli kwamba wanaowekwa katika karantini wanalazimishwa kukaa hotel za bei kubwa.
Amesema kamati ya mkoa imechagua Hotel kadhaa kulingana na hadhi ya abiria wanaowasili hivyo kiwango cha malipo ni kati ya sh 150,000 kwa wenye uwezo hadi sh 30,000 kwa akina " mwenzangu na miye!
Hivyo wanaolalamika wana sababu nyingine labda lakini gharama kiukweli wanajichagulia wao wenyewe.
Source: ITV kumekucha
Ha ha poaUkipata jibu hili nigawie nami.
30,000 ni Bei nzuri walau, maana ni vizuri kwa afya mtu apate chumba chenye choo ndani ,sasa chumba cha 14,000 kweli kitafaa? Msiseme vitu bila kutafakari kwa kweli.Elfu 30,000 ni kubwa, hapo hujala hujanywa kwa 14 days. Heri tu wawaweke kwenye viwanja vya mpria, mvua jua itajulikana huko huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
30,000 ni Bei nzuri walau, maana ni vizuri kwa afya mtu apate chumba chenye choo ndani ,sasa chumba cha 14,000 kweli kitafaa? Msiseme vitu bila kutafakari kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app