DOKEZO Afisa Biashara wa Manispaa ya Temeke, Giyola Chang’a ni mla rushwa

DOKEZO Afisa Biashara wa Manispaa ya Temeke, Giyola Chang’a ni mla rushwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

SPEAKING OPENLY

New Member
Joined
Jul 31, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Idara ya biashara ni changamoto ikiongozwa na huyu afisa biashara Giyola Chang’a. Hakuna Kinachoshindikana ndani ya idara biashara kama una hela mkononi.

UKiwa hauna tax clearance, adi kubaki(Fire kibali) au kibali chochote kile uwe na hela tu huyu mama anapitisha.
Unyanyasaji mkubwa Kwa Wafanyabiashara.

Mimi binafsi kuna siku nilienda kukata leseni lakini huyu mama alinifokea kama mtoto “toka nje,toka nje” na kuwaamuru maaskari waniweke kwenye contena, bila kosa.

Anawaharibu watumishi wapya, amekuwa akiwatuma kwenda kwa wateja na kuwakamata Kwasababu zake binafsi.

Yaani umekuwa Bora mtu ukafanye biashara Ilala au Kigamboni lakini sio Temeke.
 
Back
Top Bottom