MAKOLE JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 618 Reaction score 280 Aug 2, 2012 #1 Bwana Kiwia, Afisa elimu sekondari wa Korogwe vijijini apandishwa kizimbani kwa ulevi wakati wa kazi cheki hapa :Ofisa elimu wilaya adakwa akinywa pombe saa za kazi
Bwana Kiwia, Afisa elimu sekondari wa Korogwe vijijini apandishwa kizimbani kwa ulevi wakati wa kazi cheki hapa :Ofisa elimu wilaya adakwa akinywa pombe saa za kazi
tatanyengo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 1,133 Reaction score 280 Aug 2, 2012 #2 Hiyo kesi ndogo sana. Za mafisadi zinayeyuka sembuse hiyo ya kutuliza kiu tu, labda hakimu awe hana kazi ya kufanya. Ningekuwa hakimu ningesema: "Mtuhumiwa hana kesi ya kujibu".
Hiyo kesi ndogo sana. Za mafisadi zinayeyuka sembuse hiyo ya kutuliza kiu tu, labda hakimu awe hana kazi ya kufanya. Ningekuwa hakimu ningesema: "Mtuhumiwa hana kesi ya kujibu".
Wi-Fi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,091 Reaction score 1,381 Aug 2, 2012 #3 Imebainika mshtakiwa ni mgojwa wa akili, hivyo hana shtaka la kujibu..!
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Aug 2, 2012 #4 Kama analewa kwa mshahara wake,ya nin kupelekana mahakaman tena?