Hapa umetudanganya..Maoni ya mdau wa elimu
Anaitwa nani?Hizi local authorities zimejaa injustice sana. Nenda BUCHOSA DC utaona haya haya. Afisa elimu kahamishwa kawaachia wakuu wa shule barua za kuhama vituo baadhi ya wakuu wa shule wamekataa kuhama wakiendelea kula hela kwenye shule zao
Weka Jina Chap Professor Mkenda Amjue HarakaAnaitwa nani?
Kwani afisa elimu anafundisha hapo alipopewa nyumba ya mwalimu? Kama hafundishi hapaswi kukaa hapo shuleni. Aje shuleni kwa ajili ya ukaguzi na wala sio makazi; maofisa elimu wote wanakaa mbali na shule ili kuepuka mazoea na walimu hali itakayosababisha mgongano wa kimaslahi!Habari
Mamlaka husika naomba mchukue hatua kwani huyo jamaa hana ethics kabisa za ualimu na elimu kwa ujumla,ni corrupt sana( wakuu wa shule nimashahidi) ,anawaomba sana hongo na wanampatia kwa hofu ya kutumbuliwa, nasasa ameenda mbali zaidi amepewa nyumba shuleni badala ya mwalimu. Uchunguzi ukifanyika mtabaini madudu mengi sana
Nawasilisha
Maoni ya mdau wa elimu
Kama prof mkenda yupo humu atanitafuta inbox au private message ili nimpe xfiles nyingi zilizopo Buchosa DcWeka Jina Chap Professor Mkenda Amjue Haraka
Kwa malalamiko complaints@moe.go.tzKama prof mkenda yupo humu atanitafuta inbox au private message ili nimpe xfiles nyingi zilizopo Buchosa Dc
Huwa hawana muda wa kusoma emails wala kuzijibu. Kama Prof Mkenda yupo humu au Bashungwa watanitafuta ila kama hawapo basi acha nchi iliwe na wachache.Kwa malalamiko complaints@moe.go.tz
Tetesi: - Afisa Elimu Sekondari Moshi Manispaa amuweka lokapu Mwalimu wa idara ya Elimu Msingi kisa Mwalimu kuuliza barua ya kazi maalum haina siku maalumHabari
Mamlaka husika naomba mchukue hatua kwani huyo jamaa hana ethics kabisa za ualimu na elimu kwa ujumla, ni corrupt sana (wakuu wa shule nimashahidi), anawaomba sana hongo na wanampatia kwa hofu ya kutumbuliwa, na sasa ameenda mbali zaidi amepewa nyumba shuleni badala ya mwalimu.
Uchunguzi ukifanyika mtabaini madudu mengi sana
Nawasilisha
Maoni ya mdau wa elimu