Moise Aimar
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 216
- 406
Afisa huyu Bwana Pandawe amelewa madaraka anakula hela za likizo za walimu yeye na maofisa wake walimu wakiuliza wanapewa vitisho vya kuhamishwa na ni kweli anawahamisha ovyo ama kwa hakika elimu inabakwa ,Wilaya ya Iringa vijijin ilkua ni wilaya bora kielimu mkoani Iringa uwepo wa Pandawe umeshusha na utadidimiza zaidi elimu katika wilaya hii.
Dharau kwa walmu na wanafunzi waumini wa dini ya kiislamu;imezoeleka kote Tanzania siku ya Ijumaa waislamu huenda kuswali na kurudi masomoni lakini Bwana mkubwa Pandawe anaetamba kua hakuna wa kumfanya kitu kafuta utaratibu huu haki iko wapi?
Kote nchini Tanzania mwalimu akipanda cheo ama daraja analipwa pesa lakini sio chini ya mkubwa Pandawe anaejiona kama rais ama mfalme,sasa walimu hawalipwi stahiki zao
Wilaya zote za mkoa wa Iringa wanafunzi wanarudi nyumbani saa nane lakini ni kinyume kwa Iringa vijijini ambapo bwana mfalme Pangawe anataka watoto warudi nyumbani saa kumi na nusu jioni ama kwa hakika Pandawe anabaka elimu
Bila mwalimu wewe ungekua ulivyo?