Mbona balaa sijui hata tutafanyaje kama mwenye uzi huu ni mtumishi wa umma, naionea huruma kodi tunayolipa ambayo inalipa mshahara aina hii ya watu. Ndio maana wafanyabiashara wanakuwa wakali wanapoambia kutumia mashine ili walipe kodi halali
Lazima We utakuwa mwanamke! Sijakuelewa vizuri 'UNATAKA AFUKUZWE KAZI AU AHAMISHWE?' kama ahamishwe,JE AKIHAMISHIWA SHULE AMBAYO NA WEWE UNATAKA KUMUHAMISHIA MWANAO,UTAOMBA AHAMISHWE TENA? N:B-Wasofaa makazini ni wakufukuzwa sio kuhamishwa!