Njaa kali30
Member
- Jul 18, 2021
- 47
- 28
Habari wadau nimeona kuna malalamiko mengi yanayomuhusu afisa elimu Chamwino. Kuhusiana na kuwakalipia waalimu wake kuwapa vitisho.
Sasa kuna mwingine afisa elimu alieshindikana huku ambaye amekuwa akinyanyasa walimu wake yani ukikosana nae ujue maisha yako ya utumishi yatakuwa hayaeleweki.
Huyu si mwingine bali ni nguli mmoja anaitwa Bhange. Huyu mtu ni mtata kama jina lake lilivyo. Huyu mtu anadhalilisha waalimu sana katika kila nyanja. Anawapa vibuli wakuu wa shule wanawake wananyanyasa waalimu wao.
Amesababisha mkuu wa shule ya Maweni kupigwa vibaya na kuumizwa kutokana na kuwa makini na dharau ambazo anawafanyia wenzake. Sasa hivi anapumulia anapigani uhai wake.
Amekuwa akiwasikiliza sana madem zake aliowateua yeye wakimletea tu mwalimu kafanya hivi basi huyo mwalimu atatukanwa mpaka matusi ya nguoni.
Alipokuwa anaumwa yu taabani walimu wengi walifurahi na walikasirika sana alipopona na kurudi tena ofisini.
Amekuwa anahamisha wafanyakazi ovyo ila ameshindwa kumuondoa demu aliokula rushwa ya 1.2m kwa mwanafunzi mtoro. Kesi iko PCCB lakini amewapigia simu kesi imefutwa na demu wake anaendeleza dhulma kwa kuwapiga watu wengine.
Pia amekuwa mpokea rushwa mkubwa. Kuna walimu majina yao ninayo kazi yao ni kwenda kumpa rushwa ya ng'ombe na pesa ili asiwahamishe. Na amekuwa kila mwaka akiwapiga mkwara huo ili kujipatia ukwasi huo. Amegeuza kitega uchumi chake.
Pia huyu anatuhumiwa kwa matumizi ya mabaya ya ofisi.
Akishirikiana na kaponda