Afisa Habari wa Azam FC huna uwezo wa kumzuia Prince Dube kuondoka ndani ya Klabu

Ihefu wanamtaka Dube
 
Azam haina dira hawaelewi walipotoka walipo wala wanapoenda....atasepa tu...
 
Uyu ni mtu na nusu ni sahii kuja msimbazi tena apishane na kagere
Leo Prince Dube kaweka kambani moja dhidi ya Dodoma Jiji katika sare ya 2-2 na Azam FC

Amefikisha mabao 11 Yupo sawa na Kagere.
 
Aisee huyu mwamba ni striker aliyekamilika

Tuwape millioni 500 pamoja na Bocco na Kagere kuwapunguzia machungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…