OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Katika hali ya kushangaza Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wamejiweka vizuri na mechi ya kesho katika mbio za kutwaa ubingwa wa VPL.
Ameeleza hayo akihojiwa na Azam Sports leo wakati Yanga ikifanya mazoezi kujiandaa na mechi ya kesho dhidi ya KMC.
Nasema hali ya kushangaza kwa sababu ili Yanga ichukue ubingwa inabidi Simba SC afungwe mechi 7 huku Yanga SC ikifunga mechi zote 15 zilizosalia.
My Take:
Wasemaji wa Yanga wawe wanapewa karatasi wasome mbele ya media, wanaropoka sana.