OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nguvu mlioitumia tarehe 8 kumfunga simba mngeitumia kwenye mechi zote hivi mshatangaza ubingwa.. we utoe sare nne mfululizo kisha ulalamike simba anabebwa. Yani nyie mnashangaza kweliSimba bila mbeleko/makandokando haina uwezo wa kushinda mfululizo.Ndio maana mwekezaji anachanganyikiwa. Siku marefa wakijitambua Simba haina uwezo wa kumaliza katika tatu bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeleko ya Simba ilizibeba mpaka zile droo 4 mfululizo?Simba bila mbeleko/makandokando haina uwezo wa kushinda mfululizo.Ndio maana mwekezaji anachanganyikiwa. Siku marefa wakijitambua Simba haina uwezo wa kumaliza katika tatu bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kauli mliitoa kabla hata mzunguko wa pili haujaanza, cha ajabu mkatoa dro nne na huku Simba akishinda mfululizo.Simba bila mbeleko/makandokando haina uwezo wa kushinda mfululizo.Ndio maana mwekezaji anachanganyikiwa. Siku marefa wakijitambua Simba haina uwezo wa kumaliza katika tatu bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hali ya kushangaza Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wamejiweka vizuri na mechi ya kesho katika mbio za kutwaa ubingwa wa VPL.
Ameeleza hayo akihojiwa na Azam Sports leo wakati Yanga ikifanya mazoezi kujiandaa na mechi ya kesho dhidi ya KMC.
Nasema hali ya kushangaza kwa sababu ili Yanga ichukue ubingwa inabidi Simba Sc afungwe mechi 7 huku Yanga Sc ikifunga mechi zote 15 zilizosalia.
My Take
Wasemaji wa Yanga wawe wanapewa karatasi wasome mbele ya media,wanaropoka sana
Hilo la simba kufungwa michezo saba na nyie mshinde michezo kumi na tano halipo... narudia tena halipoUkiwa Mikia lazima uwe mbumbumbu, wewe na Bumbuli nani anaropoka? Kwenye soka lolote linaweza tokea ndio maana timu zinapambana hadi dakika ya mwisho.
Hilo la simba kufungwa michezo saba na nyie mshinde michezo kumi na tano halitpo... narudia tena halipo
Tarehe tisa ulikimbia humu. 🤣🤣🤣Labda anazungumzia ubingwa wa kivumbi cup mkuu!! Naskia na wao wamo
Hivyo Mlitaka asemeje? [emoji848][emoji848][emoji848]