Hayo makandokando ya simba ndiyo yanayochangia timu ya yanga kufanya vibaya?Simba bila mbeleko/makandokando haina uwezo wa kushinda mfululizo.Ndio maana mwekezaji anachanganyikiwa. Siku marefa wakijitambua Simba haina uwezo wa kumaliza katika tatu bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣 nilikuwa sina m.b mkuuTarehe tisa ulikimbia humu. 🤣🤣🤣
Simba bila mbeleko/makandokando haina uwezo wa kushinda mfululizo. Ndio maana mwekezaji anachanganyikiwa. Siku marefa wakijitambua Simba haina uwezo wa kumaliza katika tatu bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si tunacheza mpira na tunapambana,approximately points17-20 mmezipata kwa utapeli.......nitakuletea mechi zote zenye makandokando utaelewa vizuri baadayeNguvu mlioitumia tarehe 8 kumfunga simba mngeitumia kwenye mechi zote hivi mshatangaza ubingwa.. we utoe sare nne mfululizo kisha ulalamike simba anabebwa. Yani nyie mnashangaza kweli
Kuna mwenzako mechi ya tarehe 8/3/2020 alisema Yanga wakishinda anaukana Uislam na viapo vingine kibao.
Bado unakiwewe cha mpini mmoja wa nguvu wa tarehe 8 , kwa kipi hakiwezekani kwenye mpira?Katika hali ya kushangaza Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wamejiweka vizuri na mechi ya kesho katika mbio za kutwaa ubingwa wa VPL.
Ameeleza hayo akihojiwa na Azam Sports leo wakati Yanga ikifanya mazoezi kujiandaa na mechi ya kesho dhidi ya KMC.
Nasema hali ya kushangaza kwa sababu ili Yanga ichukue ubingwa inabidi Simba SC afungwe mechi 7 huku Yanga SC ikifunga mechi zote 15 zilizosalia.
My Take:
Wasemaji wa Yanga wawe wanapewa karatasi wasome mbele ya media, wanaropoka sana.
Hilo jamaa halinaakili kbsa chchte a anachosema Manara lina amin...mdomo mtupu mpira halijuiYuko sahihi. Kwani Ligi imeisha Mtani?
Hilo ni tatizo la kuchukuwa watoto wa dada zao na kuwapa hivyo vitengo, badala ya kupambana kushika nafasi ya 2 anawaza ubingwaKatika hali ya kushangaza Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wamejiweka vizuri na mechi ya kesho katika mbio za kutwaa ubingwa wa VPL.
Ameeleza hayo akihojiwa na Azam Sports leo wakati Yanga ikifanya mazoezi kujiandaa na mechi ya kesho dhidi ya KMC.
Nasema hali ya kushangaza kwa sababu ili Yanga ichukue ubingwa inabidi Simba SC afungwe mechi 7 huku Yanga SC ikifunga mechi zote 15 zilizosalia.
My Take:
Wasemaji wa Yanga wawe wanapewa karatasi wasome mbele ya media, wanaropoka sana.
Ulitaka afungwe vingap mnyama ili aridhiki?Yaani kumfunga mnyama kagoli kamoja tena cha kubahatisha wanajiona wanaweza kuuchukua ubingwa.Kweli chura kwake ni matopeni tu.
Yani ww kweli ndala fc.. umetoa 17_ 20 points.. unazodai za utapeli kwa hiyo apo simba na yanga zitalingana point au kupishana kidogo sana😂 hebu nifafanulie hapo kwenye huo utapeli wa points 17_20 simba ilizozipata kwa utapeliSi tunacheza mpira na tunapambana,approximately points17-20 mmezipata kwa utapeli.......nitakuletea mechi zote zenye makandokando utaelewa vizuri baadaye
Nitakuletea takwimuYani ww kweli ndala fc.. umetoa 17_ 20 points.. unazodai za utapeli kwa hiyo apo simba na yanga zitalingana point au kupishana kidogo sana😂 hebu nifafanulie hapo kwenye huo utapeli wa points 17_20 simba ilizozipata kwa utapeli
Hawa ndugu zetu Mikia akili zao wanazijua wenyewe na mpira hawaujui ndio maana Rage aliwapa lile jina lao maarufu.Huyu hapa mkuu,jana nimeona nyingine amevaa kanzu anasemayeye si shabiki wa mpira tena
View attachment 1385501
Hilo la simba kufungwa michezo saba na nyie mshinde michezo kumi na tano halipo... narudia tena halipo
[emoji1787][emoji1787] nilikuwa sina m.b mkuu