Afisa Habari wa Yanga: Tumejiweka vizuri katika mbio za ubingwa VPL

Vipi mbio bado zipo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu mlioitumia tarehe 8 kumfunga simba mngeitumia kwenye mechi zote hivi mshatangaza ubingwa.. we utoe sare nne mfululizo kisha ulalamike simba anabebwa. Yani nyie mnashangaza kweli
Mtaani tumejenga heshima kwa kumuua mnyama,lakini Hawa watoto wa kinondoni kwanini wametuharibia sherehe yetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi mbio bado zipo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado zipo...huwezi kujua Mambo ya Corona.......ligi inaweza kuahirishwa au kufutwa kabisa mwaka huu...kule England vpl imesimamishwa kwa muda...Nina wasiwasi na lichama langu la Liverpool Kama kweli tutachukua ubingwa baada ya miaka 30....fikiria Kama michuano hi itafutwa mwaka huu...
 
Nyie mikia wa ajabu Sana...bumbuli amesema ubingwa bado upo wazi Sasa Cha ajabu Nini.??!! Hesabu bado hazijaipa Simba ubingwa mpaka Sasa....
hebu weka hizo hisabati hapo ututoe nishai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…