Pre GE2025 Afisa Makao Makuu CHADEMA: Mbowe alizuia mpango wa kuanzishwa kwa CHADEMA TV kwa maelezo kwamba TBC wanatuunga mkono kwa sasa

Pre GE2025 Afisa Makao Makuu CHADEMA: Mbowe alizuia mpango wa kuanzishwa kwa CHADEMA TV kwa maelezo kwamba TBC wanatuunga mkono kwa sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Patriot missile

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2024
Posts
280
Reaction score
423
IMG-20241222-WA0076.jpg

Hapo Juu ni Email: vikao vingi vimefanyia Makao Makuu kati ya Chama na mwekezaji wa Chadema TV, Project ikaanza, Tukafunga mifumo Kanda zote. Gafla Chama Cha Mbowe kikaacha hii Project sababu eti Mwanzilishi ni Mimi na TBC inatuunga mkono,

Swali, Kwani hii Project ilikuwa mali yangu binafsi, kwanini Mbowe aliwakatili wanachama na viongozi. Fedha ngapi tungeingiza. Kumbuka kwa Mwezi milioni 340 Malipo Chama kinapata.

Kila Jimbo lingepata fedha , tungeuza vingamzi na dish, tungepata mafundi wa dish, tungepata mawakala. Haya yote wakakataa.

Watu tunaumiza vichwa kutafuta solution ili Chama kivuke , wengine wanazuia kwa sababu wanazozijua wao hasa umamluki kwani Mbowe hajawahi kutaka CHADEMA ishike Dola.

Wajumbe, tunamuhitaji Lissu tunajua Chama kina shida gani. Tunawategemea kurudisha Chama kwa wanachama.

Project hii Chama hakikuwa na gharama yoyote, kitu kepee mwekezaji alitaka ni kupata uhakika kuwa wapo watu 100,000 wenye uwezo wa kununua Kingamzi cha Zuku na Dish lake. Mimi niliwahakikishia hilo na zaidi nikasema tutawapata watu wengi sana.

Ni muda wa kuonyeaha utayari kukisaidia Chama , kusafisha uozo wote!

Makatibu wa Kanda wote wanajua hii Project, na vifaa tulifunga ilibaki kuleta vingamzi tu. Mtu akazuia kumbe Kuna TBC,

Lini CHADEMA imekuwa rafiki wa TBC mpigakura shituka haraka

Remigius,
Afisa wa Chama Makao makuu
 
Back
Top Bottom