Afisa Masuuli ni afisa mwenye mamlaka ya juu na wajibu wa kusimamia na kutoa taarifa kuhusu matumizi ya fedha zilizotolewa kwa taasisi yake kutoka serikaini. Kwa kiingereza wanaitwa Accounting Officers. Hili jina halimaanishi kuwa ni wahasibu, hapana. Linamaanisha kwamba wao ndiyo wawajibikaji wakuu katika taasisi- accountable.mh! haijaniingia akilini
pengine yule aliyesema afisa wa majukumu kidogo inafanana
uko sawasawaAfisa Masuuli ni afisa mwenye mamlaka ya juu na wajibu wa kusimamia na kutoa taarifa kuhusu matumizi ya fedha zilizotolewa kwa taasisi yake kutoka serikaini. Kwa kiingereza wanaitwa Accounting Officers. Hili jina halimaanishi kuwa ni wahasibu, hapana. Linamaanisha kwamba wao ndiyo wawajibikaji wakuu katika taasisi- accountable.
Haswa.., hawa ndio wanaowajibika na ile taarifa ya kaguzi inayopelekwa kwa CAG. Kwa mfano mawizarani, maofisa masuhuli ni makatibu wakuu na sio mawaziri. Wengi wanafikiri mawaziri ndio mabosi kule mawizarani, kumbe wao ni mabosi kisiasa tuu, the really powers ziko kwa ma KM, ambapo waziri lazima ampigie goti kujipatia fungu la ziada.Afisa Masuuli ni afisa mwenye mamlaka ya juu na wajibu wa kusimamia na kutoa taarifa kuhusu matumizi ya fedha zilizotolewa kwa taasisi yake kutoka serikaini. Kwa kiingereza wanaitwa Accounting Officers. Hili jina halimaanishi kuwa ni wahasibu, hapana. Linamaanisha kwamba wao ndiyo wawajibikaji wakuu katika taasisi- accountable.