Ndio anaweza kufanya.
Afisa Misitu moja ya jukumu lake Ni kuhifadhi misitu ambayo ni sehemu ya mazingira, na faida yake ni kama kupambana na mabadiliko ya tabianchi, kuhifadhi vyanzo vya maji, mimea na wanyama.
Kwa kazi hiyo ni wazi Afisa Mazingira anaweza kuact nafasi ya Afisa Misitu. Masuala ambayo hawezi pengine ni upande wa uchumi wa misitu, uhandisi misitu na tathmini ya rasilimali misitu.