Afisa mikopo Hazina Portal ni tatizo kwa wanufaika

Afisa mikopo Hazina Portal ni tatizo kwa wanufaika

sam-Akida

Senior Member
Joined
May 20, 2013
Posts
115
Reaction score
97
Hivi karibuni Serikali ilitoa mkopo kwa watumishi wake kupitia hazina portal, lengo likiwa kununua vyombo vya usafiri.

Mkopo huu umekuwa kikwazo kwa walengwa waliotumaini kufunga mwaka na usafiri wao na kuacha na njia au harakati zingine ambazo zingewasaidia kutimiza malengo hayo kwani mkopo haujatoka licha ya watu kukidhi vigezo na mkopo kuwa verified.

Wadau wanaomba kujua tatizo nini kwani muda unaenda na bei zinapanda hivyo kuchelewa kupata pesa kunawaathiri na kuathiri malengo yao.

Status: Verified
Position que: 1 (tafsiri ndo faili pekee/ la kwanza kushughulikiwa mezani kwa mhusika)

Submited for accountat officer for verification zaidi ya wiki tatu huyu officer kafariki wanasaili mwingine? Aliongezea mtumishi
 
Mkuu dadavua zaidi kuhusu kuomba hiyo mikopo, wengine ndo tumeipata hii taarifa hapa.
 
Mkuu mbona mizigo ishatoka wiki Moja nyumaaa......sijajua nyinyi tatizo Nini?????
 
Ukiona hivyo hupati 6000,000/7000000 alizosema Jenerali ulimwengu
 
mdau ananiambia aliamua kuachananao maana makato ktk mfumo wa utumishi yashawekwa ila hela hajawekewa na hakatwi?!
walengwa mjiandae kwa mwaka huu muwasiliane na ofisa utumishi wa halsmashauri yako
 
Back
Top Bottom