DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,602
- 6,181
Si akakope ajiajiri? Yeye anataka kumshauri wengine Tu ndio walipe yeye ale mteremko?😅😅Habari wakuu namleta mdau hapa anasema yeye anaomba kazi kwenye Microfinance yoyote kama afisa mikopo au nafasi nyingine yoyote.
SIFA ZAKE
ELIMU KIDATO CHA NNE NA DIPLOMA YA MASOKO
Ujuzi anajua vizuri kutumia Computer amewahi kujitolea sehemu kama Mhasibu miaka miwili (yaani kufanya kazi za kihasibu)
Anamewahi kuwa Marketing manager kwenye Taasisi kadhaa
Amewah kuwa sales Person pia
Umri sijui ila ana 28-30 hivi
Makazi DSM
Hahaha mimi ni IT mkuu sina uzoefu na maswala ya mikopo zaidi ya songesha na BustishaUna uhakika sio wewe mkuu
HahahaSi akakope ajiajiri? Yeye anataka kumshauri wengine Tu ndio walipe yeye ale mteremko?😅😅
sawaMkuu mtafute huyu jamaa Vishu Mtata
Sawa sawa je unaweza ku prove hapa kuwa Yesu ni jibuHahaha mimi ni IT mkuu sina uzoefu na maswala ya mikopo zaidi ya songesha na Bustisha
Hiyo ni ngumuSawa sawa je unaweza ku prove hapa kuwa Yesu ni jibu