Afisa mikopo St. John's Dar ala pesa ya bodi ya mikopo

Afisa mikopo St. John's Dar ala pesa ya bodi ya mikopo

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
15,045
Reaction score
5,108
Ni pesa ya wanachuo waliohamia vyuo vingine toka chuo hicho! Kilichofanyika ni kwamba, pesa baada ya kufika chuoni kwao waliandika bank account fake na kisha ku-sign. Mbaya zaidi ni kwamba mtandao wao umefika mpaka benki ya NMB. Vijana watano wamefika hapa wizara ya fedha na kisha kuzungumza na wanasheria. Kesho wanaripoti polisi na kisha kufungua kesi iwapo chuo kitawapuuza! Nitawapa updates kwani asubuhi wanaanzia chuoni hapo
 
Nyie wenyewe wezi

kitu kibaya hapa hawa wanachuo wanaacha chuo mkuu! Mi nina ofisi binafsi, kule nilikuwa kimajukumu. Natamani niwasaidie wapate haki yao, waendelee kusoma
 
Madogo wana plan kwenda kutamka kanisani Jpili. Loans Board wako wapi?
 
hicho chuo ni cha magumashi...Uongozi wake wote ni magumashi,haufai
 
yani hiko chuo kina skendo kibao,hata wale wa main cumpus Dodoma wanamalalamiko kibao.Management yao haija2lia halafu zaidi ya 50% ya walimu hawana cv za kufundisha chuo kikuuu
 
Uhasibu ni CPA tu! Sasa huyo loan officer si mpuuzi, utakulaje pesa ya wanachuo? Hivi walikuwa wanaishije?
 
Pale main campus wametapeli watu kwa kutangaza nafasi za masomo hewa,watu wameapply lakin cha ajabu chuo kilishafunguliwa hakuna waloitwa hasa certifcates
 
Back
Top Bottom