KiuyaJibu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 848
- 191
Afisa misitu alienda kwenye shamba la miti la jamaa kukagua.
Jamaa akamwambia,"usiingie sasa hivi."Afisa akatoa kitambulisho cha kazini;akasema,"wewe ni nani wa kunizuia kwa hiki kitambulisho?Hakuna wa kunizuia nisifanye shughuli zangu."
Jamaa akamfungulia geti,baada ya muda;jamaa anamuona Afisa misitu akifukuzwa na nyuki huku akipiga kelele,"Mama nakufa!Nisaidie!Nyuki wananiua!!"
Jamaa akamwambia,"waonyeshe kitambulisho!"