Afisa misitu anusurika kutangulia mbele ya haki

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
848
Reaction score
191
Afisa misitu alienda kwenye shamba la miti la jamaa kukagua.
Jamaa akamwambia,"usiingie sasa hivi."Afisa akatoa kitambulisho cha kazini;akasema,"wewe ni nani wa kunizuia kwa hiki kitambulisho?Hakuna wa kunizuia nisifanye shughuli zangu."
Jamaa akamfungulia geti,baada ya muda;jamaa anamuona Afisa misitu akifukuzwa na nyuki huku akipiga kelele,"Mama nakufa!Nisaidie!Nyuki wananiua!!"
Jamaa akamwambia,"waonyeshe kitambulisho
!"
 
Wooow!
Inachekesha!
Kwechu kwech! kwech! kwech!
 
People are crazy aisee...asante kwa kutuongezea umri kwa vicheko...!
 
Hii kali alifikiri anafuata nyuki ale asali kumbe kaenda kutafunwa.
 
Duh! Huyo afisa hata thubutu tena kuonyesha kitambulisho popote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…