Afisa mkuu wa polisi dar apewa kipigo na madaktari na kuvunjwa meno

Afisa mkuu wa polisi dar apewa kipigo na madaktari na kuvunjwa meno

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
Leo katika taarifa ya habali iliyorusha itv ilimuonesha afisa mkuu wa polisi kitengo cha interijensia
kutokana na kufika hospitali na kujitambulisha afisa usalama ametumwa na kamanda mkuu kuchunguza mwili wa dk.steven ulimboka ......baada ya muda alijikuta na akipatiwa kipigo na meno yake mawili yalivunjika....na madaktari waliokuwa wakimuhudumia dk.ulimboka..........source itv news
 
Liwalo na Liwe kitaeleweka na upepo utatulia tu
 
Serikali hasa katika awamu hii ya nne imewafanyia mengi mazuri madari, hata hivyo inaonekana hawaoni chochote kizuri walichofanyiwa. Mtaka yote kwa pupa hukosa ...... Nawaomba watumie busara. Kwanini kuwaacha watanzania wagojwa kufa kwa maradhi, kisa mafao ya ziada. Kumbukeni mmesoma kwa kodi za watanzania wanyonge na wao walikuwa na mategemeo makubwa kwenu. Haya! Nawashauri madaktari muache mgomo mara moja na muonyeshe uzalendo wa hali ya juu. Kama kuna kazi baadhi yenu wameona zinalipa zaidi .. Vilevile wajiepushe kujichukulia sheria mkoni kama kuwapiga askari.
 
Usipotoshe watu. Mafao ni badhi tu ya madai ya madaktari. Madai makubwa ni mazingira bora ya kazi yakiwa ni pamoja na kuwepo kwa dawa na vifaa ili kufanikisha kazi. Wananchi wengi wamefariki kutokana na uhaba wa madawa na vifaa na hiki kila Mtanzania anakiona.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
Sijauzunishwa kabisa na kupigwa kwa huyo polisi zaidi sana nahisi alikja kutaka kumalizia dr wamelaaniwa hawa wakija tena wapatiwe zaidi yahicho
 
Serikali hasa katika awamu hii ya nne imewafanyia mengi mazuri madari, hata hivyo inaonekana hawaoni chochote kizuri walichofanyiwa. Mtaka yote kwa pupa hukosa ...... Nawaomba watumie busara. Kwanini kuwaacha watanzania wagojwa kufa kwa maradhi, kisa mafao ya ziada. Kumbukeni mmesoma kwa kodi za watanzania wanyonge na wao walikuwa na mategemeo makubwa kwenu. Haya! Nawashauri madaktari muache mgomo mara moja na muonyeshe uzalendo wa hali ya juu. Kama kuna kazi baadhi yenu wameona zinalipa zaidi .. Vilevile wajiepushe kujichukulia sheria mkoni kama kuwapiga askari.

Vp mnaojichukulia sheria ya kuteka na kupiga au kuua mfano akina Sabinus Chigumbi (wale wafanyabiashara wa madini toka Morogoro au wale vijana 2 mliowau pale Arusha au Kombe? je kwa upande kwa raia mkiwauwa ni sawa? Au bado unaendelea kutunga sentensi zingine.
 
Ni upepo wa madaktari huu utatulia tu, wanataka wapewe vijicenti vya Cheenge wawe ka cheege, sasa nani atamueshimu mwenzake
 
Uwezo mdogo wa kufikiri.
Hivi wewe unadhani ma DR wanatibu kama lile Tangazo la dawa la Kenya? "Maumivu yakizidi Mtazame Daktari"
Hiiii Hiiii hiii!

Dr anahitaji vifaa na mazingira safi ya kufanya kazi.
Ni Busara kumtibu mgonjwa kwa maneno hadi kifo kimfikie au kuishinikiza serikali iboreshe mazingira?

Tatizo letu waTanzania ni ukweli kwamba Our Expectation for health services are very very LOW, we dwell in a lower expectation than the lowest possible.

Serikali hasa katika awamu hii ya nne imewafanyia mengi mazuri madari, hata hivyo inaonekana hawaoni chochote kizuri walichofanyiwa. Mtaka yote kwa pupa hukosa ...... Nawaomba watumie busara. Kwanini kuwaacha watanzania wagojwa kufa kwa maradhi, kisa mafao ya ziada. Kumbukeni mmesoma kwa kodi za watanzania wanyonge na wao walikuwa na mategemeo makubwa kwenu. Haya! Nawashauri madaktari muache mgomo mara moja na muonyeshe uzalendo wa hali ya juu. Kama kuna kazi baadhi yenu wameona zinalipa zaidi .. Vilevile wajiepushe kujichukulia sheria mkoni kama kuwapiga askari.
 
Usipotoshe watu. Mafao ni badhi tu ya madai ya madaktari. Madai makubwa ni mazingira bora ya kazi yakiwa ni pamoja na kuwepo kwa dawa na vifaa ili kufanikisha kazi. Wananchi wengi wamefariki kutokana na uhaba wa madawa na vifaa na hiki kila Mtanzania anakiona.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2

madai makuu ni hela, hayo mengine ni kurembesha tu
 
Hivi kweli umbumbumbu ni mzigo, hawa watu ambao wala si madaktari wala hawana elimu ni form four failure wamepanda tu kwa kukubali kujilegeza mbele ya mabasha zao wanapataje courage ya kuchangia mjadala wa wasomi na kuongea pumba? hawana tofauti na yule mbunge wa ccm korogwe professor wa kangaoo college bin mitishamba aliyejamba kuhusu inflation na kudai kwa nini chadema wasiipunguze kwenye maeneo yao? what an embarassment ndio tabu ya watu wanaojiita tiss wa kubebwa kwa vigezo tunavyovijua, kwa sasa wanawa embarass wale tiss professionals maana hawajui hivi vinuka nuka vimetoka wapi, wanasema wameitwa tu kupika umbea maana hayo ndio boss anayopenda ndio maana katika wasomi wote wa uandishi wa habari wakongwe kama wakina atilio tagalile, karashani, Hilal Sued, etc akaona kungwi ni muhidini issa michuzi, kichefuchefu mummy, kisa kaanzisha blog jamaa hajua kwamba blog kwa sasa ni sawa na daftari la darasa la pili kila mtu analo, basi bora angemchukua Maxine maana kafanya makubwa lakini hawezi kwa sababu ya dini na sio wa kulamba masaburi na anauwezo wa kuzalisha mwenyewe sio mtu wa kubebwa, matokeo yake ka reduce press team ya ikulu to street talk jobless corner quality, shame na sasa ndio tumefika mwisho
 
Diz iz tz,afisa kila m2 atajibeba amna polis wala afande everythng collapsed...jama 2mesahau dom wakmbz 43 wafa nchini bila maelezo .....5 madoct kwa kuanza na hao vpapet hvyo .....kumbe hadi madoc n akina cheka xema specialzatn 2 safi
 
Serikali hasa katika awamu hii ya nne imewafanyia mengi mazuri madari, hata hivyo inaonekana hawaoni chochote kizuri walichofanyiwa. Mtaka yote kwa pupa hukosa ...... Nawaomba watumie busara. Kwanini kuwaacha watanzania wagojwa kufa kwa maradhi, kisa mafao ya ziada. Kumbukeni mmesoma kwa kodi za watanzania wanyonge na wao walikuwa na mategemeo makubwa kwenu. Haya! Nawashauri madaktari muache mgomo mara moja na muonyeshe uzalendo wa hali ya juu. Kama kuna kazi baadhi yenu wameona zinalipa zaidi .. Vilevile wajiepushe kujichukulia sheria

HAPA WAPI?
 
Back
Top Bottom