Afisa mkuu wa polisi dar apewa kipigo na madaktari na kuvunjwa meno

Kwenye Red, mkuu hayo ndiyo mnalishwa na kumeza propaganda za serikali bila kuangalia au kufikiria. Kuna madai zaidi ya kumi mkuu, mafao ni mojawapo, basi kama serikali haiwezi kuwalipa mafao yanayowapa moyo iboreshe mazingira ya kazi, iongeze dawa, inunue vifaa vya kufanyia kazi! Haiingii akili wewe hapo ukiwa kama Daktari mgonjwa unayemtibu anapoteza maisha kwa kukosa pamba za kusafishia, sindano au vifaa ambavyo gharama yake inaweza isifike hata elfu kumi lakini unashangaa mtu anapoteza maisha mbele yako. Kisaikolojia daktari mwenyewe anaweza kuathirika kwani uwezo wa kumtibu anao, lakini vitendea kazi hakuna huku akiangalia serikali inamatumizi ya kianasa.
Uzalendo huanzia kwa viongozi wenyewe, mimi nawewe ni walipa kodi tena pengine kwa kulazimishwa lakini ingekuwa tunapewa fedha zote za basic salary harafu ndiyo tukalipe kodi, huenda serikali ingekuwa imeshauza hadi barabara maana ningekuwa radhi kujitolea kuipeleka hiyo fedha kwenye moja ya hospitali kusaidia walau kero moja.
Mkuu ningefurahi zaidi kama ungepitia ile orodha ya madai ya madaktari nauhakika hata kama unatibiwa private hospitals, inakugusa moja kwa moja kwani una ndugu, jamaa, rafiki na majirani wanaoumia pengine wanapoteza maisha kwa kukosa vitu tajwa hapo juu.
 
Kwa iyo alikua anataka kumfanyia postmortem mtu aliye hai?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Ila na wewe ni muongooooo, yaani hiyo TV yako ilikuonyesha pale hata damu katoka? Ndo maana hata mkitoa habari za kweli watu wanapuuzia sababu wote wapuuzi tu mnapenda attention sana za watu
 
Madaktari wana huruma sana, wamemvunja tu men mawili! Nilitegemea wamemvunja miguu yte miwili na kumchoma sindano ya sumu.
 
Kamanda kova alisema raia wasijichukulie sheria mkononi.Radio call aliyoitumia bwana usalama.inasemekana aliongea kuwa ''Hajafa' 'akimaanisha anatoa taarifa kwa waliomtuma
 
Jamaa alitoka nduki utadhani amekanyaga moto, eti tiss

Njaa za hawa watu bwana..zinawafanya wanatumika kwenye mambo yasiyo na tija yoyote kwa nchi hii.Yale yenye tija wala hawayafuatilii
 

Dont be narrow minded and stop thinking inside the box...Issue si mafao tu,mafao ni fraction tu ya madai ya madaktari. Unajua jinsi huduma zilivyo mbovu kwenye vituo vya serikali weye? au wewe ni wale mnaotibiwa nje ya nchi muumwapo hata mafua tu? Serikali DHAIFU, Raisi DHAIFU, Bunge DHAIFU, Mahakama DHAIFU, Hata ww DHAIFU?????????
 

Kweli serikali ya awamu ya nne imefanya mazuri hadi twiga wakapanda ndege hadi arabuni- hii niliiona kwenye sinema ya 'Madagascar'
 
Kweli serikali ya awamu ya nne imefanya mazuri hadi twiga wakapanda ndege hadi arabuni- hii niliiona kwenye sinema ya 'Madagascar'
Who Said Penguin Can't fly?...... I like to Move move it you like to move move it we like to.... Move it!Mkuu huwa Naipenda Sana hiyo Kitu
 
Sijauzunishwa kabisa na kupigwa kwa huyo polisi zaidi sana nahisi alikja kutaka kumalizia dr wamelaaniwa hawa wakija tena wapatiwe zaidi yahicho
ni kweli mzee, unamawazo kama yangu. mimi pia nahisi alitumwa kummalizia ili kupoteza ushahidi kabisaa. amekoma
 
mbona hawakumuonyesha kwenye tv jinsi alivyoumizwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…