Kichaa huyoUzi wako umeandikwa na AI sijui maana hicho Kishwahili hata wakenya hawa kizungumzi 😎
Wavaa kobazi huwa wanakatabia ka kusaidiana.Safi sana, niliandika uturuki ina kiherehere kutaka kujiweka mstari wa mbele vitani kuisaidia pakistan
Atamuweza wapi Mturkey huyo yeye India asaidiwe na Israel, USA wengine wasisaidiwe ananikumbusha USA yeye anamsaidia Israel hataki wengine wawasaidie Hamas au Al Houthi hahaha.Meja Jenerali Gagandeep Bakshi, afisa mkuu mstaafu katika Jeshi la India, juu ya Uturuki: "India ni nguvu ya nyuklia, India ni nguvu ya anga. Tunaweza kulipua kuzimu kutoka Uturuki ikiwa inahitajika. Uturuki imekuwa na tabia mbaya kwa muda mrefu."
Ile ngoma nzito hawaiwezi na walishakiri hilo wao wacheze na wengine hao.Wavaa kobazi huwa wanakatabia ka kusaidiana.
Katabia kao kameshindwa kwa Palestina
Huyu jamaa kama avatar yake inayonyesha mtu mshamba mwenye Elimu ndogo , uandishi wake ni ushahidi wa wazi kabisa ..Uzi wako umeandikwa na AI sijui maana hicho Kishwahili hata wakenya hawa kizungumzi 😎
Bila shaka huyu Bakshi amekula pilipili kichaa za rombo 🤣🤣Meja Jenerali Gagandeep Bakshi
Huna akiliKumbe wewe ni kichaa tulikuwa hatujui!!