Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Tahadhari ya kitu gani?Tuendelee kuchukua tahadhari
Kuna sehemu nimesema kafa kwa corona?Tahadhari ya kitu gani?
Kwani kabla ya corona watu hawakua wanakufa?
Kuna mahala imetamkwa kua corona ndio imemuua?
Tunatoa pole kwa familia ya marehemu, bodi ya wakurugenzi...View attachment 1858530
Mhandisi Leornard S. Kapongo aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhibiti Ugavi wa Umma(PPRA) amefariki dunia
Alikuwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agha Khan, amefariki Julai 17 jioni