Afisa mtendaji wa kijiji cha lamba ashikiliwa na polisi kwa kutoa kibali cha kuuza ng'ombe usiku

Afisa mtendaji wa kijiji cha lamba ashikiliwa na polisi kwa kutoa kibali cha kuuza ng'ombe usiku

UGHANDI

New Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
4
Reaction score
0
Jeshi la polisi mkoani singida linamshikilia afisa mtendaji wa kijiji cha lamba,tarafa ya mgori singida vijijini rajabu athumani na mwenyekiti wa kijiji hicho,calvine salungo kwa tuhuma za kutoa kibali cha kuuza ng'ombe usiku
 
Back
Top Bottom