U UGHANDI New Member Joined Sep 1, 2011 Posts 4 Reaction score 0 Feb 13, 2012 #1 Jeshi la polisi mkoani singida linamshikilia afisa mtendaji wa kijiji cha lamba,tarafa ya mgori singida vijijini rajabu athumani na mwenyekiti wa kijiji hicho,calvine salungo kwa tuhuma za kutoa kibali cha kuuza ng'ombe usiku
Jeshi la polisi mkoani singida linamshikilia afisa mtendaji wa kijiji cha lamba,tarafa ya mgori singida vijijini rajabu athumani na mwenyekiti wa kijiji hicho,calvine salungo kwa tuhuma za kutoa kibali cha kuuza ng'ombe usiku