Wakati Afisa Utumishi anadili na WATUmishi, yaani stahiki zao, likizo, mafao, mafunzo n.k.
Afisa Tawala anadili na VITU/mifumo ya ofisi
Umeme, maji, mafuta - diesel kwa magari, petrol kwa jenereta, matengenezo, viwanja na majengo ya taasisi, kutunza kumbukumbu muhimu za matukio ya kiofisi n.k.