Don Gorgon
Member
- Nov 21, 2024
- 35
- 68
Afisa uchaguzi jimbo la Iringa mjini, Bernard Mwaituka, akitolea ufafanuzi kwa njia ya simu kupitia kipindi cha Kiyoyozi cha Nuru FM juu ya madai yaliyotolewa na CHADEMA kuhusu hujuma zilizojitokeza katika suala zima la upigaji kura uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana 27 Novemba 2024.
Pia, soma: CHADEMA Iringa mjini wasusia Uchaguzi Serikali za Mitaa
Pia, soma: CHADEMA Iringa mjini wasusia Uchaguzi Serikali za Mitaa