Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 4,876
- 1,549
| POST | AFISA UGAVI DARAJA LA II - 2 POST |
| EMPLOYER | Parliament of Tanzania |
| APPLICATION TIMELINE: | 2022-06-11 2022-06-24 |
| JOB SUMMARY | NIL |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kutayarisha makisio ya vifaa vinavyohitajika (Schedule of Requirements); ii. Kuandaa utaratibu wa upokeaji wa vifaa; iii. Kukusanya na kutunza takwimu za upokeaji, utunzaji na usambazaji wa vifaa. Kusimamia upokeaji, utunzaji na usambazaji wa vifaa (Physical Distribution); iv. Kubuni mfumo wa uwekaji na utunzaji wa vifaa ghalani (Location Index Design); v. Kuandaa taarifa mbalimbali za vifaa; vi. Kuhesabu na kutoa taarifa ya thamani ya vifaa vilivyomo ghalani kwa kufuata taratibu zilizopo; vii. Kuandaa hati za kupokelea vifaa; viii. Kutoa vifaa kwa watumiaji (Distribute goods to User department and other users); na ix. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Mwombaji awe na Shahada/Stashahada ya juu ya Ununuzi/Ugavi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali AU awe na "Professional level Ill" inayotolewa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi nchini (Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board - (PSPTB) au sifa nyingine inayolingana na hiyo inayotambuliwa na PSPTB, ambaye amesajiliwa na PSPTB kama "Graduate Procurement and Supplies Professional". |
| REMUNERATION | PSS D |
CLICK HERE TO APPLY