mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Simon Simalenga achukua fomu ya Ubunge Kawe, Simalenga ambaye ni Afisa Uhusiano wa CLOUDS. Ni Muhitimu wa Stashahada ya Uzamili katika Masuala ya Menejimenti ya Uhusiano wa Kimataifa Chuo cha Diplomasia na ana Degree ya Siasa na Maendeleo ya Jamii Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere
Pia soma:
> Simon Simalenga ni nani? Anajipendekeza utawalani kwa maslahi ya nani?
> Star TV: Simon Simalenga anachambua siasa kuelekea uchaguzi Mkuu Oktoba 2015
> Yuko wapi huyu muigizaji alikuwa fundi sana