Simon Simalenga achukua fomu ya Ubunge Kawe, Simalenga ambaye ni Afisa Uhusiano wa CLOUDS. Ni Muhitimu wa Stashahada ya Uzamili katika Masuala ya Menejimenti ya Uhusiano wa Kimataifa Chuo cha Diplomasia na ana Degree ya Siasa na Maendeleo ya Jamii Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere