A
Anonymous
Guest
Tangu Novemba 2024 nimekuwa niliwasiliana na HRS wahuishe na kubadili TAREHE za likizo, mwezi Novemba ukaisha, Disemba umeisha mpaka sasa Januari kila siku nitabadilisha nitabadilisha .
Wadau Ma-HR mlio humu na Ma-IT wa Halmashauri hivi kufanya mchakato huo ni masaa mangapi? Kuna ugumu gani kufanya jambo hilo?
Naomba kujuzwa labda Mimi ndo sijui
Wadau Ma-HR mlio humu na Ma-IT wa Halmashauri hivi kufanya mchakato huo ni masaa mangapi? Kuna ugumu gani kufanya jambo hilo?
Naomba kujuzwa labda Mimi ndo sijui