Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
Naandika haya kwa masikito makubwa makubwa sn na ninasikitika kuona sheria zinachezewa wakat sheria ziko waz na zimeweka waz kila kitu.
Afisa utumishi wilaya ya Tunduru kwa majina MASANJA CHUMA KENGESE ameamua kujitengenezea sheria zake mwenyewe na kuacha kufata sheria pamoja na miongozo ya serikali inataka nini
Naomba kuzijulisha wizara mbili zinazohusika na suala hili zichukue hatua mara moja na wasikubali kupakwa matope na mjinga mmoja.
Wizara ya kaz na ajira na mahitaji maalumu kwa kushirikiana na wizara ya utumish wa uma ndio wenye dhamana ya kudili na mambo haya ya vyama vya wafanyakazi.
Cha kusikitisha na kinachotia kichefuchefu ni kuona kuwa mkurugenzi wa halmashauri ambaye ndio bos wa huyu afisa utumishi yeye kesharuhusu walimu kutolewa kutoka CWT kwenda CHAKUHAWATA lkn eti afisa utumishi hataki licha ya kutakiwa na mkurugenz kufanya hivo.
Sasa sisi kama walimu tunajiuliza huyu afisa utumishi MASANJA CHUMA KENGESE katumwa na nani kufanya haya na anafaidika na nini?
Swali lingine ni kuwa kama mkurugenz ndio bosi wake hapo halmashaur sasa yeye anapokea maagizo kwa nani ambaye ndio bos wake mpya?
Kama bos wake mpya ni mwenyekiti wa CWT bas atuachie kaz ya utumishi na akafanye kaz za CWT.
Tunaomba kabla hatujafikisha malalamiko yetu haya kwa mh waziri mkuu tunaomba wizara husika zideal na hili suala na kulipatia ufumbuz haraka na ikiwezekana wadeal na huyo afisa utumishi ambaye hataki fata sheria wala miongozo
Kama huyu afisa utumishi ataendelea na tabia hii bas tuko tayar kufunga safar had kwa mh RAIS na kumjulisha haya na mengine mengi yaliyojificha katika halmashauri ya Tunduru
Naomba kuwasilisha