Afisa wa Hamas Osama Hamdan: Mohammad Al Sinwar yuko hai

Ok ngoja tusubiri baada ya wiki hivi tutamuona kwenye runinga na AK-47 alisema tutawafurumusha Waisrael kwenye nchi yetu
 
Hamasi huwa hawasemi uwongo hata Hezbullah mwenye kusema uwongo ni Israel na USA
Sawa mkuu; well sura ya huyo anaetuhumiwa kuuawa imeonekana anywhere? And why then Hamas walimtaja kiongozi mpya baada ya kutangazwa kua huyu kafariki/kauawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…