Afisa wa Polisi wa Kisauni akutwa amefariki Baa baada ya kunywa pombe kali

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Kiongozi Mkuu wa Polisi Mombasa Bw. William Chepkwony amekutwa amefariki leo jumanne katika Baa aliyoingia kwa ajili ya kunywa pombe.

Ripoti zinaeleza kuwa mwili wa Polisi huyo umekutwa katika kiti cha Baa maeneo ya Bombalulu. Aidha, inaelezwa kuwa chanzo cha kifo hicho hakikufahamika awali mpaka vipimo vilivyofanyika na kubainika kuwa kifo cha askari huyo kilitosababishwa na athari ya pombe kali iliyojulikana kwa jina la 'Spree'

kwa upande mwingine, rafiki wa polisi huyo wanaeleza kuwa Bw. William Chepkwony alienda Baa siku ya jumatatu jioni na kuondoka mapema kisha kurejea tena siku ya jumanne asubuhi ambapo ndipo alifikwa na mauti hayo.


Zaidi soma:

A senior police officer in Mombasa County was on Tuesday morning found dead in a bar where he had been drinking.
Chief Inspector William Chepkwony was found dead in a seat at one of the establishments at Sport area, Bombolulu.

He was based at the Kisauni Dog Unit.

The circumstances around Mr Chepkwony's death were unclear but it was said that he went on a drinking spree on Monday evening.
Reports indicated that his colleagues dropped him off at the establishment and that he left after having a few drinks but returned on Tuesday morning.

Other reports indicated that he had been struggling with alcoholism.
A bar maid said he had an epileptic seizure before he died.

A senior police officer who knew Mr Chepkwony said he was a loner and that nobody knew his family or where he stayed.
Crime scene detectives assessed the scene before the body was taken to a nearby mortuary.

A postmortem will establish the cause of death.

Chanzo: Daily Nation
 
Poleni Wakenya

Bora hayajafanana na ya bwana Baro
 
Sema Mukora wanapenda sana Masanga.Apumzike alikojichaguliya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…