Afisa wa Saudia amtolea uvivu Trump. Asema kama anataka amani basi awapeleke wananchi wa Israel Alaska au Greenland

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Saudi official Al-Saadoun says if Trump wants to be a 'hero of peace', he must move his Israeli loved ones to Alaska and then to Greenland after annexing it.
=====================
Afisa wa Saudi Al-Saadoun anasema ikiwa Trump anataka kuwa 'shujaa wa amani', ni lazima awahamishe wapendwa wake wa Israel hadi Alaska na kisha Greenland baada ya kutwaa.

Trump, alishindwa kujenga ukuta kutoka Marekani mpaka Mexico wa Km 400. Ataweza kuijenga Gaza na kuwandoa Wapalestina.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1888603853173514493?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
IMG_20250210_103701.jpg
 
Hawa waarabu hawana akili kabisa. Utawaondoaje waisraeli kwenye nchi yao uwapeleke kusikojulikana.!?

Wao wasaudi mbona hawajaondolewa hapo walipo wapelekwe sijui Alaska au Greenland. Bogus kabisa.
 
Hahaha sasa hivi atapigiwa simu aombe msamaha laa sivyo atawekewa vikwazo.
 
Hawa waarabu hawana akili kabisa. Utawaondoaje waisraeli kwenye nchi yao uwapeleke kusikojulikana.!?

Wao wasaudi mbona hawajaondolewa hapo walipo wapelekwe sijui Alaska au Greenland. Bogus kabisa.
Mpuuzi.
 
Sasa mjibu Tramp sio Saudia Arabia wao Saudia Wameshangaa kwann Wanchi wa Palestina Waamishwe wkt UN inatambua uwepo wao pale! Badala Tramp ajadili kuundwa mataifa mawili yeye anataka Kuwatoa Wapalestina kitu ambacho akiwezi na ulokole wake wa Mbunye kizeee kinapenda Mbunye hatari uku kinajidai kilokole!!!!
 
Kwako mzungu ndio mwenye akili Sababu kakuletea USHOGA!!!!
 
Sasa mjibu Tramp sio Saudia Arabia wao Saudia Wameshangaa kwann Wanchi wa Palestina Waamishwe wkt UN inatambua uwepo wao pale! Badala Tramp ajadili kuundwa mataifa mawili yeye anataka Kuwatoa Wapalestina kitu ambacho akiwezi na ulokole wake wa Mbunye kizeee kinapenda Mbunye hatari uku kinajidai kilokole!!!!
Huyu mlokole wa JF uwa punguani sana anawashangaa Saudi kwa kuwajibu mabwana zaka ashangai Trump kuwambia Wapallestina waondoke Gaza.
 
Back
Top Bottom