Wadau Nawasalimu.Naomba kufahamishwa Juu ya HATUA ambazo MAHAKAMA itazichukua Dhidi ya AFISA wa Serikali au TAASISI yake ambayo ni HALMASHAURI ya Mji Kugoma kutekeleza HUKUMU iliyotolewa na MAHAKAMA juu ya MGOGORO wa ARDHI ?
Samahani Mkuu
wakati najiandaa kukutumia Nakala ya Hukumu nilikuwa nimelipeleka Suala langu PCCB ili ufanyike Uchunguzi kwanini Watendaji wa Halmashauri hawataki Kutekeleza Hukumu kama iliyotolewa na Mahakama kuu Uchunguzi wa Awali inaonekana Mwanasheria wa Halmashauri ndiye anawapotosha Watendaji kwa Maslahi anayoyapata kwa wale tulioshtakiana na Kuwashinda na wametaja Rushwa waliyompa Amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi
Haya mambo yanakwaza sana mzunguko mwingi ktk kutekeleza hukumu.Unakuta mtu kama mgao wa viwanja kaewa kadha lakini akitaka kuuza anaambiwa fanya hivi mara vile.