Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Daniel Musyoka aliyekuwa afisa wa tume ya uchaguzi nchini Kenya alipotea siku nne zilizopita akiwa katika chumba cha majumuisho ya kura, alisogea pembeni kidogo kuzungumza na mtu ambae hakujulikana kwa sura wala jina, baada ya hapo hakuonekana tena mpaka hapo Jana alipokutwa amekufa porini.
Ikumbukwe kuwa uchaguzi wa mwaka 2017 tukio kama hili pia lilitokea nchini Kenya aliyekuwa ofisa tume ya uchaguzi kitengo cha Habari na mawasiliano (IT) - Chris Musando aliuwa kinyama nakutupwa kwenye dampo la taka.