AFL kuanza Leo ufunguzi ni pale Pretoria

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Iko hivi baada ya zile team wasindikizaji a.k.a wafa kiume ,wakujitahidi au wazee wa makosa madogo yakirekebishwa tutafika mbali Leo ndio AFL inaanza rasmi

Macho na masikio ya wapenzi wa soccer barani afrika yanaelekezwa pale katika dimba la Loftus Versfeld stadium Pretoria ambapo team ya Mamelody watakuwa wakiwakaribisha mabingwa wa kihistoria kutoka Misri Al Ahly
Mamelody ambao sio wazuri sana katika mechi za mtoano watakuwa na maswali ya kujiuliza kwa wababe Hawa wa mechi za mtoano

Itakumbukwa kuwa mshindi wa kombe hili kitita atakachobeba anaweza kuamua kuanzisha team nyingine na ikawa giant Afrika

Sisi watanzania kwa umoja wetu kwa uwazi ama usiri tunaiombea Mamelody ushindi mnono hii ni kutokana na waarabu Hawa kumpapasa che Malone bila huruma na kumfunga Ally Salumu kila walipotaka kumfunga
 
.
 
Attachments

  • 1000027044.jpg
    1000027044.jpg
    36.2 KB · Views: 2
Tulisha waambia mbumbumbu fc, kuja kwa Wenga, Infantino, corina n.k hakuingiliani na wao kuifahamu Simba.
Wao walikuja ku support ufunguzi wa michuano ya Caf ata ingekua inafunguliwa Djibut ao hawajui chochote kuhusu soccer la Tanzania zaidi ya mlima Kilimanjaro.

Wao walitakiwa kujikita kwenye mechi husika na si upuuzi wa kushangilia viongozi walio tarajiwa kufika.
 
Mtawapa kazi bure watu wanaowazunguka kwa kutafuta magonjwa ya kujitakia. Rais wa FIFA,mkuu waamuzi duniani Collina, Arsene Wenger kwa uchache watakuwa wajinga waje kujazana hapa kwenye ufunguzi.
Shuhudia ufunguzi mkuu Leo hapo ulipo
 
Tulisha waambia mbumbumbu fc, kuja kwa Wenga, Infantino, corina n.k hakuingiliani na wao kuifahamu Simba.
Wao walikuja ku support ufunguzi wa michuano ya Caf ata ingekua inafunguliwa Djibut ao hawajui chochote kuhusu soccer la Tanzania zaidi ya mlima Kilimanjaro.

Wao walitakiwa kujikita kwenye mechi husika na si upuuzi wa kushangilia viongozi walio tarajiwa kufika.
Wakaishia kushangilia draw ya kibonanza kifupi game zinaanza Leo si unaona team za wasindikizaji wote wametupwa nje
Zimebaki team zilizolengwa kuchukua kitita
 
MBAKA SASA.

Fedha za maandalizi ya African super league Bilioni 5.5

Simba amecheza robo Fainali ya AFL
Amelamba BILIONI 2. 5

5.5+2.5= 8 BILIONI

MBAKA SASA SIMBA AMELAMBA JUMLA YA BILIONI 8/=
 
Wakina Mwakarobo watakuja kukuhambulia kwa matusi kama kawaida yao.
 
Iko hivi baada ya zile team wasindikizaji a.k.a wafa kiume ,wakujitahidi au wazee wa makosa madogo yakirekebishwa tutafika mbali Leo ndio AFL inaanza rasmi
Macho na masikio ya wapenzi wa soccer barani afrika yanaelekezwa pale katika dimba la Loftus Versfeld stadium Pretoria ambapo team ya Mamelody watakuwa wakiwakaribisha mabingwa wa kihistoria kutoka Misri Al Ahly
Mamelody ambao sio wazuri sana katika mechi za mtoano watakuwa na maswali ya kujiuliza kwa wababe Hawa wa mechi za mtoano
Itakumbukwa kuwa mshindi wa kombe hili kitita atakachobeba anaweza kuamua kuanzisha team nyingine na ikawa giant afrika
Sisi watanzania kwa umoja wetu kwa uwazi ama usiri tunaiombea Mamelody ushindi mnono hii ni kutokana na waarabu Hawa kumpapasa che Malone bila huruma na kumfunga Ally Salumu kila walipotaka kumfunga
😅
 
MBAKA SASA.

Fedha za maandalizi ya African super league Bilioni 5.5

Simba amecheza robo Fainali ya AFL
Amelamba BILIONI 2. 5

5.5+2.5= 8 BILIONI

MBAKA SASA SIMBA AMELAMBA JUMLA YA BILIONI 8/=
Sio kweli kwa kwa sauti kubwa... Simba hyo b2.5 ndo ntolee hyo na ndo pesa ya kuwepo robo fainali acha kudanganya uma
 
Tulisha waambia mbumbumbu fc, kuja kwa Wenga, Infantino, corina n.k hakuingiliani na wao kuifahamu Simba.
Wao walikuja ku support ufunguzi wa michuano ya Caf ata ingekua inafunguliwa Djibut ao hawajui chochote kuhusu soccer la Tanzania zaidi ya mlima Kilimanjaro.

Wao walitakiwa kujikita kwenye mechi husika na si upuuzi wa kushangilia viongozi walio tarajiwa kufika.
Huwa inatabia ya kuuma kama bado hujazoea..ichomoe taratibu taratibu tuu
 
Haya maneno yanaishi sana ahadi naogopa.......

"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Iko hivi baada ya zile team wasindikizaji a.k.a wafa kiume ,wakujitahidi au wazee wa makosa madogo yakirekebishwa tutafika mbali Leo ndio AFL inaanza rasmi
Macho na masikio ya wapenzi wa soccer barani afrika yanaelekezwa pale katika dimba la Loftus Versfeld stadium Pretoria ambapo team ya Mamelody watakuwa wakiwakaribisha mabingwa wa kihistoria kutoka Misri Al Ahly
Mamelody ambao sio wazuri sana katika mechi za mtoano watakuwa na maswali ya kujiuliza kwa wababe Hawa wa mechi za mtoano
Itakumbukwa kuwa mshindi wa kombe hili kitita atakachobeba anaweza kuamua kuanzisha team nyingine na ikawa giant afrika
Sisi watanzania kwa umoja wetu kwa uwazi ama usiri tunaiombea Mamelody ushindi mnono hii ni kutokana na waarabu Hawa kumpapasa che Malone bila huruma na kumfunga Ally Salumu kila walipotaka kumfunga
Umeandika kwa hasira, ila kama Wenger hatakuwapo uwanjani, huo sio ufunguzi 😁😁😁
 
Back
Top Bottom