AFL kuanza Leo ufunguzi ni pale Pretoria

MBAKA SASA.

Fedha za maandalizi ya African super league Bilioni 5.5

Simba amecheza robo Fainali ya AFL
Amelamba BILIONI 2. 5

5.5+2.5= 8 BILIONI

MBAKA SASA SIMBA AMELAMBA JUMLA YA BILIONI 8/=
Leo ufunguzi unafanyika Loftus Versfeld ni akili pekee itatumika kupata mshindi
 
Wakina Mwakarobo watakuja kukuhambulia kwa matusi kama kawaida yao.
Wanashambulia ila Leo ndio ufunguzi wa mashindano na team kusudiwa ndio zinaingia uwanjani hapa hakuna kelele za kutaka huruma ya kusema tumepambana watu wanataka tokeo
 
Haya maneno yanaishi sana ahadi naogopa.......


"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
Angalau kwa Sasa tunajua Leo ndio ufunguzi wa AFL hapo Loftus Pretoria na mpira mzuri unaenda kuchezwa Sasa hakuna beki na kipa zenye mchecheto kama Malone
 
View attachment 2796804

VITABU VYA KIHISTORIA VILITABIRI YAFUATAYO.

Mashabiki wa yanga ni wapumbavu

Mashabiki wa yanga hawana shule na hawajasoma

Mashabiki wa yanga ni wajinga na majinga
Leo uko upande gani !?ila kimuonekano uko kwa Al Ahly maana huwezi shabikia njano tena yenye kung'aa [emoji23][emoji23][emoji23]au utashabikia kishingo upande
 
Uzi wa mazombie.
Wenzenu wanasaka pesa kwa mpira nyie huku kwamtogole mnatiana madole machoni...
Simba na yanga ni laana Tanzania
 
MSAADA KUTOKA KWA UONGOZI JAMII FORUM

Mods naomba Tubadilishe jina la Heading.

Hicho kichwa cha Habari hakifai na hakitakiwi.

Wote tunajua ufunguzi wa
AFRICAN SUPER LEAGUE UMEFANYIKA BENJAMIN MKAPA STADIUM.20 OCTOBER 2023.

Nadhani tusiache watoto watuharibie jamii Forum.

Tuvithamini vya Nyumbanj
Ufunguzi ulifanyika Benjamin mkapa
Rais wa FIFA,CAF, CECAFA ,TFF nk Walikiwepowalikuwepo.

Active
Mhariri
Bridger
Boqin
BlackBold
 
Leo uko upande gani !?ila kimuonekano uko kwa Al Ahly maana huwezi shabikia njano tena yenye kung'aa [emoji23][emoji23][emoji23]au utashabikia kishingo upande
Aahaaaaaa

Hawezi shabikia njano,

Lazima amshabikie Al Ahyl

Mamelodi akimnywa Al Ahly Simba ataonekana alicheza na kibonde

Hivyo kamwe Simba hawezi shabikia Mamelodi
 
Makolo wamechukia leo utadhani hawakucheza hii michuano, subirini mwakani WANANCHI tuwaonyeshe nini cha kufanya katika hii michuano.
Naam

Naomba Mamelodi achukue kombe hili

Ili yule mtoto pendwa wa CAF Al Ahly anune vizuri
 
Kwamba "makosa madogo tu yakirekebishwa tutafika mbali"... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Halafu cha kushangaza miaka inakata tu kila siku maneno ni hayo hayoπŸ‘†πŸ‘†
 
Ufunguzi ni leo

Nyie mlikuwa mnasindikiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…