AFL kuanza Leo ufunguzi ni pale Pretoria

Uzi wa mazombie.
Wenzenu wanasaka pesa kwa mpira nyie huku kwamtogole mnatiana madole machoni...
Simba na yanga ni laana Tanzania
Simba na Yanga ni burudani kwa Tanzania usilazimishe maji yapande mlima
 
Hahaha unakimbilia polisi usiogope mkuu mda si mrefu game inaanza acha uoga game zinaanza leo
 
Makolo wamechukia leo utadhani hawakucheza hii michuano, subirini mwakani WANANCHI tuwaonyeshe nini cha kufanya katika hii michuano.
Hawapendi na ni wachungu sana ila ukweli ni kuwa AFL inaanza Leo wanyonge wote wametolewa
 
Aahaaaaaa

Hawezi shabikia njano,

Lazima amshabikie Al Ahyl

Mamelodi akimnywa Al Ahly Simba ataonekana alicheza na kibonde

Hivyo kamwe Simba hawezi shabikia Mamelodi
Hawawezi wanataka waseme "tulicheza na bingwa"ila ukweli wanaujua bingwa wa Afrika yote ni USM Alger
 
Naam

Naomba Mamelodi achukue kombe hili

Ili yule mtoto pendwa wa CAF Al Ahly anune vizuri
Motsepe kaenda kutafuta hela ya mwarabu hawezi kuiacha kirahisi wakati ni budget yake kwa msimu huu na ujao
 
Ufunguzi ni leo

Nyie mlikuwa mnasindikiza
Hajui kabisa Sanaa ya lugha kakimbilia polisi mechi zote zilizopita watu walijua matokeo na ndivyo yalivyokuwa Leo hakuna ajuae matokeo hadi dk 90 ndio tutajua
AFL inaanza Leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…