PostGE2025 AFP: Tanzania politicians in shock as cabal takes over after massacre

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Idi Amini Mama akitoboa hii ngoma nimekaa paleπŸ‘‰πŸ‘‰
 
Wamekufa watu zaidi ya elfu kumi, na wengine kujeruhiwa, Rais ajitafakari kama hiko kiti anastahili kukikalia
Anataka aue tena 100,000+ hio December 9 na hio ndio agenda kuu iliyopo mezani, safari hii watarusha mpaka mabomu ya kurusha kwa mikono ili idadi iwe kubwa kubwa kidogo maana anaona ameua kidogo sana... majini yake bado hayajashiba damu
 
Huyo ***** chalamila ipo siku atajibu maswali na kuongea ukweli wote, mkuu wa mkoa ndio head wa kamati ya mkoa ya usalama, maelfu wamekufa under his watch, atatupa maelezo tuu
Anapigwa kanzu vizuri tu usikariri vitu vimeshakuwa beyond kamati hiyo.
 
I have read this article at AFP website, Thank you for bringing in JF. Wanaume wamekaa na misuruali yao, wanapelekwa pelekwa ovyo na wahuni na wauaji na wao wananyamaza tu. Shame on everyone in government, nchi inaongozwa na CARTEL au warlord mwenye matatizo ya akili na mama yake mwenye shida kichwani, licha ya uelewa mdogo.
 
Anataka aue tena 100,000+ hio December 9 na hio ndio agenda kuu iliyopo mezani, safari hii watarusha mpaka mabomu ya kurusha kwa mikono ili idadi iwe kubwa kubwa kidogo maana anaona ameua kidogo sana... majini yake bado hayajashiba damu
Eeeh! Mungu tuokoe watanzania πŸ˜­πŸ˜­πŸ™Œ
 
Idi Amini Mama akitoboa hii ngoma nimekaa paleπŸ‘‰πŸ‘‰
Atatoboa kibabe maana atakayemuwekea kikwazo anamuua anaendelea na safari, ukombozi wetu kwa sasa upo mikononi kwa Mungu maana wanadamu hatuwezi kushindana na mtu mwenye majeshi, polisi na silaha za kutosha
 
Tanzania has now become a man slaughter ground and authorities are trying to normalize the masacre as much as they can. Bunch of twits!
 
Kinachouma zaidi ni Abdul kumiliki kikosi cha mauaji ya watanganyika kinachoendeshwa kwa kodi za watanganyika (wauliwa). Inauma sana.
Huyo jamaa anavyotajwatajwa nikajua Samuya ana mtoto mmoja tu. Kumbe wako wengine ila yeye ndio ana trend.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…