Afreen, Tash, Aabro, Nidda Sparkle kama alama ya Ushindi wa B1, B5 katika Mji wa Kashmir

Abdull Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
337
Reaction score
296
Habari hii iliandikwa kwenye gazeti la RK NI

Licha ya hali ya hewa ya joto, wachezaji walijitoa na kuonyesha ustadi Mkubwa wa kugonga na kucheza mpira, wakati wa michezo ya kombe la dunia kwa wanawake chini ya umri wa miaka 19 ikianza kwa wakati mmoja katika viwanja vinne vya mikoa pacha ya jimbo la Muungano.

Kwa upande wa Kashmir, mechi hizo zilichezwa kwenye uwanja wa Sher-e-Kashmir uwanja A na B, wakati huko Jammu mechi zilichezwa kwenye uwanja wa hosteli ya Chuo cha Sayansi cha GGM na uwanja wa kriketi wa jimbo la Gharota.

Katika Uwanja wa Sher-e-Kashmir Uwanja-A, timu ya B5 iliishinda B4 katika mtanange wote kwa wiketi 8.

Kwanza walianza , kwa kushinda mitupo na kuzuia mashambulizi,kwa B4 kufunga mikimbio 105 wakipoteza wiketi zao zote katika mchakato huo.

Foziya aliongoza kwa kufunga mikimbio 29, huku Haleema akichangia mikimbio 13 kwa jumla.

Aabro aliongoza kwa wachezaji wa timu ya B5, ambaye alichukua wiketi 5, huku Nusrat akifunga wiketi 3.

Kwa kujibu, B5 ilijibu mapigo na kutarajia kufikia lengo la ushindi baada ya kushinda wiketi 8 na kupoteza wiketi 2

Nidda walipata nafasi ya juu wakiwa na mikimbio 54, huku Sana wakiwa na mikimbio 13. Halema na Nusrat walijichukulia wiketi 1 kila mmoja kwa timu ya B4. Ambapo Aabro alitangazwa kuwa mchezaji bora wa mechi.

Katika Uwanja wa Sher-e-Kashmir kwenye uwanja B, timu ya B1ilifunga jumla mikimbio mizuri 156 huku Afreen akiongoza kwa mikimbio 70 bila kupoteza hata mmoja, huku Nusrat Irshad akichangia mikimbio 20 kwa jumla.

Tashi Dolzes ndiye aliyekuwa mvunjaji mkuu, ambaye alikamata wiketi 6, huku Khushbu akidai wiketi 2.

Kwa kujibu, timu B2 ilijikusanyia mikimbio 107 hivyo hali iliyofanya wapoteze mechi kwa mikimbio 49.

Rafia (23) na Sanjeeda (15) ndio walikuwa wafungaji wanaoongoza. Mahroof alichukua wiketi 5 na Ahiza alijinyakulia wiketi 2. Tashi Dolzes alitangazwa kuwa mchezaji bora wa mechi.

Katika Hosteli ya Chuo cha Sayansi cha GGM Uwanja wa Jammu, timu A4 ilishinda timu A1 kwa wiketi 6.

Mapema kabla ya kushinda mipira ya mitupo na kutetea mashambulizi (kugonga kwanza, A1 alifunga mikimbio 114 mara 25.3 zaidi.

Aanvi Singh (20), Sonali (18) na Gurkirat (13) walitoa mchango mkubwa zaidi. Huku kwa A4, Sambhavi Rajput na Priyamvada wakichukua wiketi 2 kila moja.

Katika kujibu, timu A4 ilipanda kwa kuonyesha uwezo mzuri wa kuzuia mashambulizi (kugonga) lililofanywa na Bhawandeep Kour ambaye alifunga mikimbio 53 kutoka kwa mipira 29 pekee, akipiga mipaka 12, huku Somya akichangia mikimbio 12 nje ya mipira 35, na kuifanya A4 kushinda kwa wiketi 6.

Kwa upande wa A1, Aanvi Singh alifunga wiketi 3. Ukiwa ni ushindi wake mzuri, huku Bhawandeep akitangazwa kuwa mchezaji bora wa mechi.

Katika uwanja wa jimbo la Gharota, timu A5 iliishinda A2 kwa mikimbio 15. Ikipiga kwanza, A5 ilifunga mikimbio 100. Vishaka na Neemami walichangia mikimbio 26 na 25 kwa jumla mtawalia.

Kwa timu A5, Simran Devi aliongoza kwa wchezaji wa washambuliaji. Ambaye alichukua wiketi 5 muhimu.

Timu ya A1 ilijibu mashambulizi kwa kujikusanyia mikimbio 85. Wakati Vanshika akiwa katika ubora mzuri uliomuwezesha kufunga mikimbio 22. Kwa A5, Gargi alikuwa mchezaji mwokozi, ambaye alichukua wiketi 6, ambazo zilipelekea mchezaji wake kupata tuzo ya mechi.

Mjumbe wa Kamati ya Ushauri ya Kriketi (CAC), Abdul Qayoom na Mteuzi Mwandamizi Masarat Ahad walizindua mechi hizo huko Srinagar.

Kwa upande wa Jammu michezo hiyo ilizinduliwa na Mjumbe wa CAC Roopali Slathia,Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Uteuzi Surabhi Dadheechi na Mteuzi Madhu

Kamati ya maandalizi ya jimbo la Jammu ilijumuisha Sandeep Singh, Veemarsh Kaw, Mohit Puri na Surekha Devi, huku Kamati ya maandalizi ya jimbo la Kashmir ikijumuisha Zahoor Sofi, Manzoor Ahmed Lone, Huwaid Ronga na Tasaduq Rashid.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…