DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Apr 19, 2018 #1 Hii pesa ambayo ndugu zangu Yanga wataipata. Mwaka 2013, ulikuwa ni mshahara anaolipwa Yahya Toure kwa week pale man city. Kweli Africa ina safari ndefu kuja kufanikiwa ktk kombe la dunia.
Hii pesa ambayo ndugu zangu Yanga wataipata. Mwaka 2013, ulikuwa ni mshahara anaolipwa Yahya Toure kwa week pale man city. Kweli Africa ina safari ndefu kuja kufanikiwa ktk kombe la dunia.
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,956 Reaction score 14,032 Apr 19, 2018 #2 Haa haa haa aiseee dhaa Simba roho inaniuma sana Ucjarbu kuja na kisingizio cha Africa cjui nn hapa
Hannover JF-Expert Member Joined Jul 28, 2017 Posts 443 Reaction score 574 Apr 19, 2018 #3 Acha wivu wa kike