Africa bado Uhuru

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
We are not free, we still have to choose between these
Choose one..
IMF/World bank/Western govts Conditions:
Fight corruption
Import western Gay LGBT agenda
Hinged currency
Western interests
Exploitation resources

China Conditions:
Chinese workers
Chinese Companies
Chinese raw materials & tools
Cheap imports
Sourced Mega projects
 
Nimeshangaa kusoma kwenye DailyNation ya leo kwamba wachina wanakatalia mkopo wa kufadhili ujenzi wa SGR Naivasha-Kisumu, sio kwasababu ya viability ya reli yenyewe bali ni kwamba rais Uhuru Kenyatta alipiga marufuku samaki wa kichina kuuzwa Kenya. Ila nimependezwa na kauli ya bunge, limemshauri U.Kenyatta aendelee kubana zaidi, bila kujali kuhusu hela za kufadhili ujenzi huo. Lazima tuwalinde wakulima na wavuvi wetu, hela za kufadhili ujenzi huo sio lazima zitoke kwa mchina.
 
Kipindi lucrative deal la Tz SGR na China likiwa canceled ingawa MoU ilikua signed tayari. China iliongeza kutoa misaada na kuongeza ushirikiano kwa Tz hii inatokana na China na Tz kuwa na urafiki wa ukweli na wa muda mrefu. Kama kweli China wametoa hilo tamko Kenya mnasafari ndefu kuweza kumfanya China awe mshirika wenu wa ukweli. Hii kauli ni yakitemi sana ata mimi binafsi imenikwaza.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Hamna cha urafiki kati ya mchina na mwafrika, asikudanganye mtu. Kwao Afrika ni shamba la bibi, wakijipendekeza kwenu leo jua kwamba wameona mwanya wa kuvuna kesho. Ona wanavofanya kule kwa ndugu zetu S.Sudan. Wanauza silaha kwa pande zote mbili huku wakindelea kupanga mikakati ya kunyonya mafuta vita vikiendelea. Kinachonishangaza ni wanavojitia hamnazo utadhani ufadhili wanaogawa kwenye ujenzi wa miundo mbinu ukanda huu ni misaada na sio deni.
 
China may bar SGR loan over fish row . thisdayes ili usidhani ni hadithi tu ndio hizo hapo habari zenyewe kutoka kwa jarida la kuaminika la DailyNation leo hii. Manina zao, wanatishia kusimamisha ufadhili wa ujenzi wa SGR kwasababu rais Uhuru Kenyatta alipiga marufuku samaki wao kuuzwa Kenya. Upande wa pili nao Waziri wa Usalama Fred Matiang'i anaendelea kuwafurusha wachina kutoka Kenya bila mzaha.
 
Ninyi wakenya ni wajinga sana, tena akili zenu hazina akili kabisa, suala ka China kukataa kutoa pesa ya kipande cha Kisumu Malaba kilikuepo huu ni mwaka wa tatu au zaidi, China ilikataa kutoka mkopo kwa Uganda hadi Kenya itoe uhakika kwamba itafikisha reli hadi Malaba, kumekuwa kuikifanyika vikao vingi tu kati ya Kenya, Uganda na Kenya juu ya hili suala, Kenya inataka Uganda ishiriki kuchangia gharama ya kipande hicho, Uganda haikubali, hili la samaki limeanza karibuni tu, vipi mbalihusisha na jambo lenye zaidi ya miaka mitatu sasa?.
 
https://www.jamiiforums.com/threads...of-sgr-deal-with-kenya.1502259/#post-29006582
 
Kweli. These fools are just beginning to realise what Kenyans are na bado. The day China will decide to colonize Kenya thats the day Africa Unites, they think we are divided because of corruption and tribalism but any time an external force attacks we prove catastrophic. What Africa needs to do is to strengthen its military Arsenal, we already have the numbers and power.
 
Wachina wanatishia tu waone tutakachofanya. Ila sidhani ni through military means, economical war is the new front. Jombaa, U.S of Africa ilikufa na Ghaddafi, very sad.
 
Uhuru wa ndani ya nchi hatuna pia,ukimkosea kigogo badala ya kuabudu sheria ili ikusaidie unamwabudu kigogo uliemkosea!!
 
The media is just a pain in the ass. Yani wanaanika kila kitu livelive. Do they even think before they write any news?? Sasa hao ndio wakwanza wa kuanika siri za government huko inje,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Uhuru hangesema hii tactic mbele ya watu.
 
Uhuru wa wanahabari ndio nguzo muhimu kwenye demokrasia ya taifa lolote lile. Hamna aibu wala siri, labda ikifika tu kwenye masuala ya usalama wa taifa letu tukufu. Enzi za kumuimbia Moi na KANU yake kama makasuku ziliisha zamani. Kumbuka tulipotoka jombaa, acha tutizame mbele bana.
 
I totally agree. Kenya is a unique country in Africa. I can't imagine life in UG/Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…