Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa wale mnaopata Africa Channel jaribuni kukivizia tena kipindi cha Africa Report. Leo asubuhi nimekiangalia na walikuwa wanazungumzia miradi mbalimbali ya maendeleo Tanzania. Mmoja wa wahojiwa ni Daudi Balali...very interesting!
OOoh, nimesahau, kipindi nilikuwa nakipenda sana hiki, ila nadhani kilipotea hapo katikati...Huwa kipo kwenye NBC vile au..
SteveD.
Mkuu Nyani si utumegee japo kwa mistari miwili Daudi kasemani?