Africa Commission Final Report

Kichakoro

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2008
Posts
3,335
Reaction score
6,186
Kama mnavyofahamu Mwaka jana Mwanzo iliundwa African commission kwa ajili ya kushugulikia matatizo ya ajira kwa vijana barani Afrika ambapo Mh. J. Kikwete, Dr. R Migiro na wengine walikua ni wajumbe Jumatano hii commission hiyo imehitisha kazi yake kwa kutoa mapendekezo 5.


Vile vile naambatanisha final repoti hapa chini. Ningeomba wadau tuijadili hii report chapter by chapter.

Nawakilisha WAZEE WA KUCHOMA NDIZI

imekataa kuattach bonyeza hapa http://www.africacommission.um.dk/en/servicemenu/News/LaunchOfTheAfricaCommissionsReport.htm
 
Report ina malengo mazuri. Taabu ipo kwenye nchi husika zenye utawala wa kifisadi, ubabe na democrasia ya kuigiza. Huko nako kukifanyiwa marekebisho ya hali ya juu then the report will be implementable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…