Africa Cup of Nations -2010

Africa Cup of Nations -2010

mwanamasala

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2009
Posts
248
Reaction score
12
Group A (Luanda): Angola, Mali, Malawi, Algeria

Group B (Cabinda): Cote d'Ivoire, Burkina Faso, Ghana, Togo

Group C (Bengela): Egypt, Nigeria, Mozambique, Benin

Group D (Lobango): Cameroon, Gabon, Zambia, Tunisia ;


Jamani lini na sisi tutakuwemo kati ya nchi hizo?????
Wenzetu wa Malawi wamejiweka sawa,may be vioingozi wa FAT wajiulize nchi ndogo kama Malawi inawezaje kuwa katika finals hizo?Hata wana Mozambique ambao sio kama sisi walipata Uhuru tunawaona chini ya Comrade Samora Machel.
Sina kumbukumbu lini tulishiriki kati ya finals hizi though nimeona kuna thread zinasema tulikuwa na wacheza wazuli miaka mingi iliyopita.
Ukiangalia nchi hizi zote ,timu zao za ligi hazina wafadhili Wahindi!!!

Anyway nitashangilia Malawi,maana ukiangalia hata wacheza wao baadhi wana majina ya Kitanzania,sio mbaya Mozambique kama wewe ni Mmachinga
 
tanzania kuingia huku inawezekanaaaa....ILA BILA YA LONGOLONGO LA MARCIO MAXIMO KOCHA KIMEO ANAYESHIRIKI UFISADI NA VIONGOZI WA SERIKALI KUTUIBIA PESA ZETU WALIPA KODI KWA MGONGO WA NATIONAL TIMU....
 
Coacher analipwa fedha kibao za walima korosho lakini hamna kinachofanyika zaidi ya kuendelea kuteremka kwenye msimamo wa FIFA! Si atimuliwe tu!!
 
Football na politik hazinamahusiano! sisi wizi tu
 
Namuunga mkono Masanilo, kwa mawazo yangu tatizo sio Maximo, kwa kweli sisi mpira uwanjani bado, mpira wetu unachezwa na kupambwa na vyombo vya habari, lakini ukienda uwanjani ni madudu maputu!
 
Back
Top Bottom