Hakika mshana mpeni fanta moja ya baridi anywe,nikifika hapo notahusika kunilipa hapo duka la jirani😁😁Mshana leo umeamua kurejea maktaba
Jina lako litawekwa kwenye makabati ya Afrika kwa, rejea maneno ya mkalimani siku tulipokua na msiba wa kitaifa wa JPM