Africa history made (Marejeo)

"Sisi sio nyani wenu tena" kauli iliyo mgharimu
 
Albamu ya Sauti ya Filamu ya Black Panther hakika itakuwa mojawapo ya albamu za filamu zinazotiririshwa zaidi katika historia ya Filamu zinazozunguka Afrika na Mbio zetu za Weusi. Asante sana kwa watayarishi wote waliofanikisha. Afrika inashukuru
 
Shadowplay' iliingia Ulaya baadaye. Kufikia karne ya 18 ilikuwa imefika ikiwa imepitia Ugiriki, Uturuki kisha Misri kabla ya kuwasili Afrika Kaskazini. Picha zote mbili zimetoka kwa ‘Le Siècle du Cinema,’ na Vincent Pinel, iliyochapishwa na Bordas, Paris, 1994 p13. -30-
 
Sio kwamba Mtu alikuwa anaumwa Mguu hapana!
Huyu Mkushi alikamatwa akijaribu kutoroka Makucha ya Mkoloni Nguruwe wa Pinki!
Huyu Mjusi Kafiri akaamua kumkata mguu Makusudi!
Wakushi walipitia Wakati Mgumu sana!
Kwa sisi tunaojitambua Mateso ya Babu zetu Yanatutia Simanzi Kuliko Mateso ya Yesu wa Kubumba!!

MUNGU KWANZA!!!!
 
Eagle with Serpent - Byzantine mosaic in the Great Palace of Constantinople, dating to the reign of Byzantine emperor Justinian I, 6th century A.D.

Photographer: Zzvet_135 on Adobe Stock.⁣
#Ancient_Historical_Archaeology
 
We are Beautiful people who exist in some of the most diverse and unique ways [emoji288] #iloveafrica #africanbeauty #Albino #albinism #albinismisbeautiful
 
Dah! Bora ukutane na mtu mwenye roho ngumu kuliko mwenye roho mbaya, hatari zaidi ukutane na mwenye roho ngumu na mbaya hapo utakua umekutana na kihama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amphora yenye sura nyeusi ya Attic pamoja na Memnon mfalme wa Ethiopia. 530 BC. Makumbusho ya MET.
 
Historical movies you need to watch atleast once in your life thread :

1.12 YEARS A SLAVE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…